• Call us: +255 784 772 213
  • Email: info@muet-tanzania.or.tz
Mufindi Environmental Trust (MUET)
SUPPORT US
  • Home
  • About Us
    • About Us
    • Mission and Vision
    • Objectives
    • Achievements
    • Future Plans
    • Our Team
  • Activities
    • Trees
    • Paulownia Project
    • Bee Keeping
    • Honey Production
    • Production of Wood
    • Avocado (HASS) Farming
  • Projects
  • Blog
    • Our Blog
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
  • Contact Us

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Mradi Wa Vituo Vya Mapumziko Na Vyoo Vya Wasafiri Katika Barabara Kuu Nchini, Katika Kijiji Cha Idetero, Mufindi-Iringa.

  /   Blog   /   Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Mradi Wa Vituo Vya Mapumziko Na Vyoo Vya Wasafiri Katika Barabara Kuu Nchini, Katika Kijiji Cha Idetero, Mufindi-Iringa.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015.
Oct 18, 2015
Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Mradi Wa Vituo Vya Mapumziko Na Vyoo Vya Wasafiri Katika Barabara Kuu Nchini, Katika Kijiji Cha Idetero, Mufindi-Iringa.
18Oct

Makamu Wa Rais Dkt. Bilal Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Mradi Wa Vituo Vya Mapumziko Na Vyoo Vya Wasafiri Katika Barabara Kuu Nchini, Katika Kijiji Cha Idetero, Mufindi-Iringa.

  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi iliyofanyika katika Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa leo, Okt. 17, 2015. Picha na OMR
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, wakati wa hafla ya kuweka jiwe la Msingi iliyofanyika katika Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa leo, Okt. 17, 2015.
  • Baadhi ya Vijana wa Jeshi la KIjenga Taifa wakiendelea na ujenzi wa Mradi huo.
  • Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo ya ujenzi huo kutoka kwa msimamizi wa Ujenzi, Stanley Ndosite Nzowa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015. Picha na OMR
Download File/s:
  • Hotuba Makamu Wa Rais [351 KB]

Other Posts

  • Apr 11, 21 Timber Traders decry Over Taxation
  • May 31, 19 Collection of Forest Waste Products at Sao Hill Forest Plantation Between Tanzania Forest Services Agency (TFS) and MUET
  • Apr 30, 10 The Sale of Pine and Eucalyptus Trees Between Ministry of Natural Resources and Tourism and MUET

Categories

  • Highlights4
  • Publications0
  • Opportunities0

Facebook

Copyright © 2025 - Mufindi Environmental Trust (MUET) - Privacy Policy | Contact Us

-